Waziri wa
Kilimo nchini Tanzania Mhe Japhet Hasunga (Mb) akimkabidhi Cheti Dayana Novat wakati wa mahafali ya mafunzo ya Kilimo ya Agro Studies yanayofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa ICC (Jerusalem International Conventional
Center) mjini Jerusalem nchini Israel, leo Tarehe 2 Septemba
2019. (Picha Zote Na Mathias Canal,Wizara ya Kilimo)

Waziri wa Kilimo nchini Tanzania Mhe Japhet Hasunga (Mb) akishiriki mahafali ya mafunzo ya Kilimo ya Agro Studies yanayofanyika mjini Jerusalem nchini Israel, leo Tarehe 2 Septemba 2019.
Sehemu ya
washiriki wakifuatili mahafali ya mafunzo
ya Kilimo ya Agro Studies yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ICC (Jerusalem
International Conventional Center) mjini Jerusalem nchini Israel, leo
Tarehe 2 Septemba 2019.

Kilimo nchini Tanzania Mhe Japhet Hasunga (Mb) akimkabidhi Cheti Bazil Materu wakati wa
mahafali ya mafunzo ya Kilimo ya Agro
Studies yanayofanyika (Jerusalem International Conventional Center) mjini
Jerusalem nchini Israel, leo Tarehe 2 Septemba 2019.

Waziri
wa Kilimo nchini Tanzania Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza na
mawaziri, Naibu Mawaziri na Mabalozi kutoka nchi mbalimbali
waliohudhuria mahafali ya mafunzo ya Kilimo ya Agro Studies yanayofanyika mjini Jerusalem nchini Israel, leo Tarehe 2 Septemba 2019.
Na Mathias Canal,
Jerusalem-Israel
Jerusalem-Israel
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania Mhe Japhet Hasunga
(Mb) leo Tarehe 2 Septemba 2019 ameshiriki mahafali ya mafunzo ya Kilimo ya
Agro Studies yanayofanyika mjini Jerusalem nchini Israel na kuwatunuku vyeti
vya kuhitimu wanafunzi 45 kutoka Tanzania.

Katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa ICC
(Jerusalem International Conventional Center), Waziri Hasunga amewapongeza
vijana hao kwa kuhitimu masomo yao hivyo amewaahidi kuwa serikali ya Tanzania
inayoongozwa na Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli imejipanga kuboresha mazingira
wezeshi kwenye sekta ya kilimo hivyo wanayo nafasi nzuri kuutumia ujuzi
walioupata kuboresha kilimo watakaporejea nchini Tanzania.

Mahafali hayo yatajumuisha vijana 1600 kutoka
mataifa zaidi ya 12 ambapo kati ya hao vijana 45 ni watanzania, miongoni mwao
wanawake wakiwa ni 9 na wanaume ni 36.

Waziri huyo wa kilimo wa Tanzania Mhe Japhet
Hasunga amesema kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepewa jumla
ya nafasi 100 kwa ajili ya kupeleka vijana wa kitanzania kujifunza kilimo cha
kisasa nchini Israel hivyo fursa hiyo ni muhimu kwani vijana hao wa Tanzania
wamepata ujuzi wanachotakiwa kufanya ni kutumia ujuzi huo kwa
manufaa makubwa nchini mwao.

Akizungumza na mtandao wa WazoHuru Blog mara
baada ya kuwakabidhi vyeti wahitimu hao Mhe Hasunga amesema kuwa kupatikana kwa
nafasi hizo 100 ni kutokana na ombi la Rais wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe
Magufuli kwa serikali ya Israel ili kuwawezesha vijana wengi wa kitanzania
kujifunza mbinu na teknolojia za kilimo cha kisasa.

Kadhalika, Waziri Hasunga atakutana na kurugenzi
Mkuu wa Taasisi ya Agro Studies ambapo miongoni mwa mazungumzo muhimu itakuwa
ni pamoja na kumuomba uwezekano wa kuongezewa nafasi zaidi ili vijana wengi wa
kitanzania waende kujifunza mbinu mpya za kilimo nchini Israel.

Pia, Mhe Hasunga atakutana na kufanya mazungumzo na
Waziri wa Kilimo nchini Israel kujadiliana nae maeneo mbalimbali na fursa za
uwekezaji zilizopo katika sekta ya kilimo nchini Tanzania.

Katika mkutano mwingine, Mhe Hasunga atakutana na
kufanya mazungumzo na wadau wawekezaji wakubwa wa sekta ya kilimo nchini Israel
ili kuwaeleza fursa za uwekezaji zilizopo nchini Tanzania.

Katika ziara hiyo tarehe 4 Septemba 2019 Mhe
Hasunga atashiriki mapokezi ya vijana 100 ambao wapo nchini Israel kwa ajili ya
kuanza mafunzo yao.

Leo tarehe 2 Septemba 2019 ni siku ya pili ya ziara
ya kikazi ya Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga nchini Israel kati ya siku
sita atakazokuwa nchini hapa.

No comments :
Post a Comment