Picha zikionesha Sehemu
mbalimbali za Barabara ya Kyaka-Bugene mkoani Kagera. Barabara hiyo
yenye Urefu wa Kilometa 59.1 ni kichocheo kikubwa cha Uchumi katika
Mikoa ya Kanda ya ziwa pia huunganisha nchi ya Tanzania na nchi jirani
za Rwanda na Burundi.
Sehemu ya Barabara ya Kyaka-Bugene katika eneo la Kishoju Karagwe mkoani Kagera. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment