Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika
picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu,
Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko
nchini kwa ziara ya kikazi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea
zawadi iliyotolewa kwa Rais Dkt. John Magufuli na Kiongozi Mkuu wa
Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj
(kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,akielekezwa
shughuli zinazofanywa na Taasisi ya BAPS Swaminarayan Santha,ikiwepo
utoaji wa elimu,huduma za kiafya, inayosimamiwa na Kiongozi Mkuu wa
Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj
(kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na
Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant
Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara
ya kikazi.
No comments :
Post a Comment