Waziri
wa Mambo ya Nje wa Japan, Mhe.Kono Taro (mwenye tai ya rangi ya
chungwa) akifungua rasmi Mkutano wa Mawaziri wa maandalizi ya Mkutano wa
Saba wa Kimataifa kuhusu Mandeleo ya Afrika (TICAD 7) . Ufunguzi huo
umefanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Pacifico jijini
Yokohama, Japan tarehe 27 Agosti 2019.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba
John Kabudi (wa tatu kushoto kwenye meza nyeupe) akifuatilia ufunguzi wa
Mkutano wa TICAD wa Mawaziri uliofanyika Yokohama, Japan tarehe 27
Agosti 2019
Mkutano ukiendelea
No comments :
Post a Comment