Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani Nchini, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta
ya Puma, Dominic Dhanah (watatu kushoto) na Mrajisi wa Jumuiya
sisizo za Kiserikali Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah (watatu kulia) wakikabidhi mfano wa Hundi
ya Shilingi Milioni Nne kwa
Uongozi wa Shule ya Msingi Mkunazini baada ya mwanafunzi Raya Zubeir Hemed(kulia), kuibuka mshindi wa kwanza kwenye
Shindano la Uchoraji wa Michoro ya Elimu ya Usalama Barabarani kwenye hafla iliyofanyika Visiwani Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Mafuta ya Puma,Dominic
Dhanah, akimkabidhi zawadi Mshindi wa Pili Salum Ali Khatib baada ya kushika
nafasi hiyo katika Shindano la
Uchoraji wa Michoro
ya Elimu ya Usalama
Barabarani lililodhaminiwa na kampuni
hiyo.Hafla hiyo imefanyika Visiwani Zanzibar.
Mrajisi wa Jumuiya
sisizo za Kiserikali Zanzibar, Ahmed Khalid
Abdullah akimkabidhi zawadi mwanafunzi wa Shule ya Msingi
Kisiwandui,Salma Ali Seif baada ya kujibu swali lililohusiana na usalama
barabarani, wakati wa Hafla iliyofanyika Visiwani Zanzibar
Naibu Waziri
wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambae
pia ni Mwenyekiti wa
Taifa wa Baraza
la Usalama Barabarani
Nchini, Mhandisi Hamad Masauni, akimpa
zawadi mwanafunzi wa Shule ya Msingi
Mkunazini, Saidat Jumbe zawadi baada ya kujibu swali lililohusiana na Kanuni za
Uvukaji wa Barabara ili kuepuka ajali.Hafla hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya Mafuta ya Puma ya
kukabidhi zawadi kwa washindi wa
Shindano la Uchoraji
wa Michoro ya
Elimu ya Usalama Barabarani iliyofanyika
Visiwani Zanzibar
Naibu Waziri
wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambae
pia ni Mwenyekiti wa
Taifa wa Baraza
la Usalama Barabarani
Nchini, Mhandisi Hamad Masauni,
akimkabidhi kikombe mshindi wa kwanza wa
Shindano la Uchoraji
wa Michoro ya
Elimu ya Usalama Barabarani
mwanafunzi wa Shuke ya Msingi Mkunazini Rayah Zubeir Hemed.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta
ya Puma,Dominic Dhanah.
No comments :
Post a Comment