Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es
Salaam, Lazaro Mambosasa, wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa
Julius Nyerere, tokea nchini Misri, alipokua kwenye ziara ya kikazi ya
siku tatu, Julai 11.2019. Kulia ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Ngalayainisi. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment