Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Rwamishenye wakati akitokea Karagwe mkoani
Kagera
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiandika kero mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wananchi wa
Muleba mkoani Kagera wakati akielekea Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasikiliza wananchi wa Muleba Mjini mkoani Kagera wakati
walipokuwa wakielezea changamoto mbalimbali zinazowakabili.
Mtume
Venon Fernandes wa Kanisa la Agape akiwa pamoja na wananchi wa
Rwamishenye wakifurahia wakati wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama
katika eneo hilo na kuwasalimu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape katika eneo
hilo la Rwamishenye wakati akielekea Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiombewa na Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape pamoja na wananchi
wa Rwamishenye Bukoba mkoani Kagera mara baada ya kuzungumza nao wakati
akitokea Karagwe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Kemondo nje kidogo ya Manispaa ya Bukoba
mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiondoka katika eneo la Muleba mjini mara baada ya kuzungumza
na wananchi wa eneo hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisali mbele ya Kaburi la Marehemu Mhandisi Leopard Mjungi ambaye
alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu kutoka Wizara ya Ujenzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza nyumbani kwa marehemu Mhandisi Leopard Mjungi
ambaye alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu kutoka Wizara ya Ujenzi mara
baada ya kuwasili kijijini hapo Muleba mkoani Kagera. Marehemu Mhandisi
Mjungi alifariki mwaka 2007.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono wananchi wa Muleba wakati akitoka nyumbani kwa
marehemu Mhandisi Leopard Mjungi ambaye alikuwa Mkurugenzi wa barabara
Kuu wa Wizara ya Ujenzi. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment