Friday, July 19, 2019

WAZIRI LUKUVI AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WATAALAMU WA ARDHI JIJINI DODOMA

 Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ,akizungumza wakati wa kufungua kikao kazi cha Wataalamu wa sekta ya Ardhi kilichofanyika kwenye Kituom cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma Julai 18, 2019.
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula akizungumza kabla ya kaumkarisha waziri kufungua mkutano wa kikao kazi kwa wataalamu wa sekta ya ardhi pamoja na wadau mbalimbali wa ardhi
Katibu Mkuu wizara ya Ardhi ,Nyumba  na Maendeleo ya Makazi , Dkt. Doothy Mwanyika akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha wataalamu wa sekta ya ardhi kilichofanyika Jijijini Dodoma leo ukumbi wa Dk Jakaya Kikwete
 Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ,akizungumza wakati wa kufungua kikao kazi cha Wataalamu wa sekta ya Ardhi kilichofanyika kwenye Kituom cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma Julai 18, 2019.
 Wataalamu wa Ardhi waliohudhuriam kikao hicho wakimsikiliza Mhe. Waziri.
 Wataalamu wa Ardhi waliohudhuriam kikao hicho wakimsikiliza Mhe. Waziri.

No comments :

Post a Comment