
Picha
hizi ni za Muonekano wa jengo namba 3 (Terminal III) katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam likiwa
katika majaribio.
Jengo hilo lina uwezo wa kuhifadhi ndege kubwa 24 kwa wakati mmoja, na litahudumia abiria milioni 6 kila mwaka.



No comments :
Post a Comment