Baraza la Mitihani Tanzania (Necta)
limetangaza matokeo ya kidato sita mwaka 2019 na kutaja shule kumi bora
zilizofanya vizuri katika mtihani huo.
Akizungumza leo Alhamisi Julai 11, 2019
visiwani Zanzibar wakati akitangaza
matokeo hayo katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema shule iliyoshika nafasi ya kwanza ni Kisimiri ya mkoani Arusha iliyokuwa na watahiniwa 60.
matokeo hayo katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema shule iliyoshika nafasi ya kwanza ni Kisimiri ya mkoani Arusha iliyokuwa na watahiniwa 60.
Msonde amesema Feza Boys ya jijini Dar
es Salaam yenye watahiniwa 87 imeshika nafasi ya pili ikifuatiwa na
Ahmes ya mkoani Pwani iliyokuwa na watahiniwa 112.
No comments :
Post a Comment