Thursday, July 11, 2019

ORODHA YA SHULE 10 ZA MWISHO MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019


Shule ya Sekondari ya Nyamunga ya mkoani Mara imeshika namba moja kati ya
shule 10 zilizofanya vibaya kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2019.

Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Julai 11, 2019 na katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde.

Katika orodha hiyo kuna shule nne za Mjini Magharibi  visiwani Zanzibar ambazo ni
Kiembesamaki A Islamic, Mpendae, Tumekuja na Haile Selassie.

==>>Hizi ni Shule 10 za Mwisho Kitaifa
1.    Nyamunga, Mara.

2.    Haile Salassie Mjini Maghari.
3.    Tumekuja,mjini Magharib
4.    Bumaangi,mara
5.    Butuli,mara
6.    Mpendae, Mjini Magharib
7.    Eckernford, Tanga.
8.    Msimbo, Katavi.
9.    Mondo, Dodoma.
10. Kiembe Samaki A Mjini Magharib

No comments :

Post a Comment