
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Kangi Lugola, akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya
wizara yake leo bungeni Jijini Dodoma.


Wageni Mbali mbali wakifuatilia
hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Mkutano wa
15 Kikao cha 15 Kilichofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge la Tanzania na
Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen
Kagaigai (kulia) akielezea jambo uku akisikilizwa na Katibu wa Bunge la
Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg.
Cecilia Mbwewe (katikati) na Katibu wa Bunge la Jimbo la Free State,
Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wahariri ya Jarida la
Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika (SCOTT Africa Journal), Ndg.
Thabo Mofokeng ndani ya Ukumbi wa Bunge leo Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa
pili kulia) akimkaribisha Katibu wa Bunge la Jimbo la Free State, Afrika
Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wahariri ya Jarida la Chama
cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika (SCOTT Africa Journal), Ndg. Thabo
Mofokeng (kushoto) pale ugeni kutoka Chama cha Makatibu Mezani (SOCATT
Kanda ya Afrika) wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika
walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kushoto
ni Katibu wa Bunge la Tanzania na Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya
Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai na Kulia ni Katibu wa
Bunge la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya
Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe
Spika wa Bunge, Job Ndugai
(kushoto) akutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Bunge la Zambia na
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia
Mbwewe (katikati) na Katibu wa Bunge la Jimbo la Free State, Afrika
Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wahariri ya Jarida la Chama
cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika (SCOTT Africa Journal), Ndg. Thabo
Mofokeng walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa
tatu kushoto) akutana na kufanya mazungumzo na ugeni kutoka Chama cha
Makatibu Mezani (SOCATT Kanda ya Afrika) wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola
Kanda ya Afrika walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Ugeni huo ulioongozwa na Katibu wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti
wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe
(kushoto kwake)
Spika wa Bunge, Job Ndugai
(kushoto) akikabidhiwa zawadi ya asali mbili kutoka Zambia na zawadi
ambayo haijafunguliwa na Katibu wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti wa
Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe
alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Job Ndugai
(katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Chama cha Makatibu
Mezani (SOCATT Kanda ya Afrika) wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya
Afrika, walioongozwa na Katibu wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti wa
Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia Mbwewe (wa pili
kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili
kushoto ni Katibu wa Bunge la Tanzania na Katibu wa Kanda Mabunge
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen Kagaigai


Spika wa Bunge, Job Ndugai
(kushoto) akutana na kufanya mazungumzo na Kamishna wa Bima kutoka
Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima (TIRA), Dkt. Baghayo Saqware
(katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia
ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Afya AAR Tanzania na Mdau wa
TIRA, Ndg. Violet Modechai.

Spika wa Bunge, Job Ndugai akutana
na kufanya mazungumzo na ugeni kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli
za Bima (TIRA) wakiongozwa na Kamishna wa Bima, Dkt. Baghayo Saqware
(kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Job Ndugai
akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milioni 33 na Kamishna wa Bima
kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima (TIRA), Dkt. Baghayo
Saqware pale ugeni kutoka Mamlaka hiyo ulipomtembelea leo Ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma. Kwa ajili ya Ujenzi wa vyoo vya Mfano kwa ajili
ya kuboresha Mazingira ya Mtoto wa kike Mashuleni. Katikati ni
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) na Mbunge wa
Urambo, Margaret Sitta.

Katibu wa Bunge la Tanzania na
Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen
Kagaigai (kulia) akizungumza na Katibu wa Bunge la Zambia na Mwenyekiti
wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg. Cecilia
alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge la Tanzania na
Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen
Kagaigai (kulia) akutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Bunge la
Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg.
Cecilia Mbwewe (katikati) na Katibu wa Bunge la Jimbo la Free State,
Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wahariri ya Jarida la
Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika (SCOTT Africa Journal) ), Ndg.
Thabo Mofokeng walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge la Tanzania na
Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen
Kagaigai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa Bunge la
Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika, Ndg.
Cecilia Mbwewe (kulia) na Katibu wa Bunge la Jimbo la Free State, Afrika
Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wahariri ya Jarida la Chama
cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika (SCOTT Africa Journal) ), Ndg. Thabo
Mofokeng walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge la Tanzania na
Katibu wa Kanda Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Stephen
Kagaigai (wa pili kushoto) akimsikiliza Katibu wa Bunge la Jimbo la Free
State, Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wahariri ya
Jarida la Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika (SCOTT Africa
Journal) ), Ndg. Thabo Mofokeng wakati wakiongozana wakielekea katika
Ofisi ya Spika Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Katibu wa Bunge
la Zambia na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mezani Kanda ya Afrika,
Ndg. Cecilia Mbwewe (kulia) Wengine ni Maafisa kutoka Bunge la Tanzania
na Zambia
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment