Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuka ndani ya ndege
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa ndege wa Kimataifa wa
Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji
wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini
Malawi. April 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais
wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi.
April 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais
wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakati wimbo wa Taifa wa
Tanzania ukipigwa na Mizinga 21 ya Rais mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi.
April 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride
lililoandaliwa na Jeshi la Malawi kwa heshima yake katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya
viongozi wa Malawi waliofika kumlaki katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Prof.
Arthur Peter Mutharika wakiwasalimia baadhi ya wananchi waliojitokeza
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini
Malawi. April 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais
wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika, Mama Janeth Magufuli pamoja na
Prof. Gertrude Mutharika kabla ya kuweka mashada ya maua katika
kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la
Bunge la Malawi Lilongwe nchini Malawi. April 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakiwa wameshika mashada ya maua tayari kuyaweka katika kaburi
la Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge
la Malawi. April 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakiweka mashada ya maua katika kaburi la Rais wa Tatu wa
Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la Malawi. April 24,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakisali mara baada ya kuweka mashada ya maua katika kaburi la
Rais wa Tatu wa Malawi, Prof. Bingu Mutharika,katika eneo la Bunge la
Malawi. April 24, 2019.
Kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi Hayati Prof. Bingu Mutharika.Kaburi la Rais wa Tatu wa Malawi Hayati Prof. Bingu Mutharika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni
mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Bunge Malawi (nyuma yake ni
mkewe Mama Janeth Magufuli akishuhudia) April 24, 2019.
No comments :
Post a Comment