Mkuu wa wilaya Arusha akiongea
katika machimbo ya moramu eneo la Moshono mara baada ya Uokoaji Jana
picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha
Sehemu ya mitambo iliotolewa na
Kampuni hiyo kuokoa waliofukiwa na kifusi kwenye machimbo ya Moramu eneo
la Moshono nje kidogo ya Jiji la Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha

Meneja wa Kampuni ya Beijing
Construction Eng.Guo Xiangke pichani akiongea na vyombo vya habari mara
baada ya kushiriki zoezi la uokozi kwenye machimbo ya moramu eneo la
Moshono.picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
……………………………………………………………………………………………………………
Na Ahmed Mahmoud Arusha.
Tukio la ajali ya
kufukiwa Kwa Gari na watu watano kwenye mgodi wa mchanga moshono Kampuni
ya kichina imejitokeza Kusaidia kuokoa Kwa kutoa mitambo yake
kudumisha ushirikiano Kati ya mataifa haya mawili ya China na Tanzania.
Shughuli za uokozi katika machimbo ya moramu
yaliopo Kata ya Moshono jijini Arusha Kampuni ya ujenzi ya Beijing
Construction Engineering ilitoa mitambo yake mitatu Kusaidia shughuli ya
uokoaji na kusimamisha kazi ya uboreshaji wa mtandao wa maji jijiji
hapa Kwa muda.
Meneja mradi huo unaosimamiwa na mamlaka ya maji
safi na usafi wa mazingira jijini Arusha AUWSA Guo Xiangke amesema kuwa
baada ya tukio Hilo waliona ni muhimu kushirikiana na serikali
kuwaokoa waliofukiwa na kifusi.
Amesema Kampuni hiyo ilisaidia katika suala zima
la ufukuaji wa kifusi Kwa siku nzima ya Jana mara baada ya kupata
taarifa na kuombwa na mamlaka kusaidia kwenye tukio hilo.
Amesema wao kama wananchi wengine wanaoishi na
kufanyakazi hapa nchini waliguswa na tukio Hilo hivyo kuona umuhimu wa
kusaidiana na serikali katika kutoa masaada huo wa uokozi.
“Msaada wa kibinadamu ni muhimu Sana na Sisi
kama jamii tunapaswa kuona umuhimu wa kuwasaidia wenzetu wanaopatwa na
majanga kama haya tena wakati wowote tutajitolea pale itakapohitajika
msaada wetu”
Nae mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro
alisema tukio hilo limewasikitisha na watakaa kikao Kwa ajili ya kutoa
maamuzi Kwa namna yakuwezesha wananchi kufanyakazi Kwa njia za usalama
zaidi na taarifa zaidi zitatolewa.
“Tunashukuru kazi ya kuiondoa miili imefanikiwa
na majeruhi wamepelekwa hospitali ya mount Meru no Jambo la huzuni
tutawajulisha hatua tutakazozalisha baadaye”
Pamoja na serikali kusimamisha mgodi huo mwaka
2013 na Hadi tukio Hilo linatokea ni miaka takribani sita imepita baada
ya kupoteza maisha ya wananchi 13 na waziri mkuu wa wakati huo
alipendekeza kuboresha usalama Kwa njia nzuri bila kufungwa mgodi huo.
Nukuu tutashauriana na viongozi wenzangu tuone
namna sahihi lakini sipendekezi kufungwa”alisema Mizengo PindaNa Ahmed
Mahmoud Arusha.
Tukio la ajali ya kufukiwa Kwa Gari na watu
watano kwenye mgodi wa mchanga moshono Kampuni ya kichina imejitokeza
Kusaidia kuokoa Kwa kutoa mitambo yake kudumisha ushirikiano Kati ya
mataifa haya mawili ya China na Tanzania.
Shughuli za uokozi katika machimbo ya moramu
yaliopo Kata ya Moshono jijini Arusha Kampuni ya ujenzi ya Beijing
Construction Engineering ilitoa mitambo yake mitatu Kusaidia shughuli ya
uokoaji na kusimamisha kazi ya uboreshaji wa mtandao wa maji jijiji
hapa Kwa muda.
Meneja mradi huo unaosimamiwa na mamlaka ya maji
safi na usafi wa mazingira jijini Arusha AUWSA Guo Xiangke amesema kuwa
baada ya tukio Hilo waliona ni muhimu kushirikiana na serikali
kuwaokoa waliofukiwa na kifusi.
Amesema Kampuni hiyo ilisaidia katika suala zima
la ufukuaji wa kifusi Kwa siku nzima ya Jana mara baada ya kupata
taarifa na kuombwa na mamlaka kusaidia kwenye tukio hilo.
Amesema wao kama wananchi wengine wanaoishi na
kufanyakazi hapa nchini waliguswa na tukio Hilo hivyo kuona umuhimu wa
kusaidiana na serikali katika kutoa masaada huo wa uokozi.
“Msaada wa kibinadamu ni muhimu Sana na Sisi
kama jamii tunapaswa kuona umuhimu wa kuwasaidia wenzetu wanaopatwa na
majanga kama haya tena wakati wowote tutajitolea pale itakapohitajika
msaada wetu”
Nae mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro
alisema tukio hilo limewasikitisha na watakaa kikao Kwa ajili ya kutoa
maamuzi Kwa namna yakuwezesha wananchi kufanyakazi Kwa njia za usalama
zaidi na taarifa zaidi zitatolewa.
“Tunashukuru kazi ya kuiondoa miili imefanikiwa
na majeruhi wamepelekwa hospitali ya mount Meru no Jambo la huzuni
tutawajulisha hatua tutakazozalisha baadaye”
Pamoja na serikali kusimamisha mgodi huo mwaka
2013 na Hadi tukio Hilo linatokea ni miaka takribani sita imepita baada
ya kupoteza maisha ya wananchi 13 na waziri mkuu wa wakati huo
alipendekeza kuboresha usalama Kwa njia nzuri bila kufungwa mgodi huo.
Nukuu tutashauriana na viongozi wenzangu tuone namna sahihi lakini sipendekezi kufungwa”alisema Mizengo Pinda
No comments :
Post a Comment