Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (Kushoto ) akizungumza leo ofisini
kwake Jijini Dodoma na Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty
International Bibi Joan Nyanyuki kuhusu Sekta ya Habari hususani Wajibu
wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.
Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka
Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki (Kulia) akizungumza leo na
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe
ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini Dodoma kuhusu Sekta ya Habari hususan
Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye
ukweli.
Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty
International Bw.Roland Ebole (Kulia) akizungumza leo na Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati)
kuhusu Sekta ya Habari hususan Wajibu wa vyombo vya Habari nchini
kuandika na kusambaza habari zenye ukweli ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini
Dodoma. Kulia ni Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty
International Bibi Joan Nyanyuki
No comments :
Post a Comment