Rais Mstaafu, Benjamin William
Mkapa (kulia), akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,
Theobald Sabi alipomtembelea ofisini kwake akiwa pamoja na Meneja
Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe (kushoto), Dar es Salaam jana.
Rais Mstaafu, Benjamin William
Mkapa (kulia), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald
Sabi pamoja na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe
walipomtembelea ofisini kwake, Dar es Salaam jana.
No comments :
Post a Comment