Naibu Spika wa Bunge la Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akifungua kikao cha Tano cha Kamati ya
Demokrasia na Utawala cha Baraza la Wabunge wa Mabunge ya Jumuiya ya
nchi za Maziwa makuu (FP-ICGLR) kilichofanyika hii leo Jijini Arusha.
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa
kikao cha Tano cha Kamati ya Demokrasia na Utawala bora cha Baraza la
Wabunge wa Mabunge ya Jumuiya ya nchi za Maziwa makuu (FP-ICGLR)
kilichofanyika hii leo Jijini Arusha. (Picha na Ofisi ya Bunge)
No comments :
Post a Comment