Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (katikati) akikata utepe
kuzindua Tawi jipya la Benki ya Biashara Mkombozi Mjini Iringa pamoja
na viongozi wakishuhudia tukio hilo,kulia Mkuu wa Wilaya ya Iringa
Richard Kasesela,Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya Mkombozi,
Bw . George Shumbusho, Askofu wa Jimbo la Iringa, Tarcisius
Ngalalekumtwa.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza wakati wa hafla ya
uzinduzi Tawi jipya la Benki ya Biashara Mkombozi Mjini Iringa 27 machi,
2019.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya Mkombozi, Bw . George Shumbusho akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi huo.
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akizungumza.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki
ya Biashara ya Mkombozi wakimsikiliza kwa umakini Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (hayupo
pichani) wakati akitoa hotuba yake.
Baadhi ya wafanyakazi wa
Kampuni ya KALAX ambao ndio waandaji wa hafla hiyo ya kuzindua Tawi
jipya la Benki ya Biashara Mkombozi Mjini Iringa.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki
ya Biashara ya Mkombozi wakimsikiliza kwa umakini Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (hayupo
pichani) wakati akitoa hotuba yake.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika hafla hiyo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (katikati) akiwa kwenye picha
ya pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo mara baada ya uzinduzi.
No comments :
Post a Comment