Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, wakati
alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12,
2019. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda Bungeni kuhudhuria kikao cha
Uwasilishwaji wa Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na
Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa
Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika kikao cha Uwasilishwaji wa Mpango na Ukomo wa Bajeti
ya Mwaka 2019/2020; na Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya
Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha
2019/2020, kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019,
kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai na kulia ni Katibu wa
Bunge Stephen Kagaigai.
Waziri wa Fedha Dkt. Philip Mpango
akiwasilisha Mpango na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2019/2020; na
Uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa
Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, kwenye ukumbi wa Msekwa
Bungeni jijini Dodoma Machi 12, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment