Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa
Wizara ya Elimu jana kwa ajili ya kutiliana saini mkataba wa
makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu hususan katika Lugha ya
Kiswahili na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya
Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai (kulia) jana jijini Dodoma.
Kushoto ni Balozi wa Sudan Kusini nchini Tanzania, Mhe.Mariano Deng
Ngor.
Waziri wa Elimu, Sanyansi na
Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya
kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya
Elimu hususan katika lugha ya Kiswahili na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa
Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai (kushoto)
jana jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,
Sayansi na Teknolojia, Ave Maria Semakafu.
Waziri wa Elimu, Sanyansi na
Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati wa hafla ya
kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya
Elimu hususan katika lugha ya Kiswahili na Waziri wa Elimu na Mafunzo wa
Serikali ya Jamhuri ya Sudani Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai (kushoto)
jana jijini Dodoma.
Waziri wa Elimu na Mafunzo wa
Serikali ya Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai wakati wa
hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubalina ya ushirikiano katika
sekta ya elimu baina ya Tanzania na Sudan Kusini jana jijini Dodoma.
Kushoto kwake ni Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce
Ndalichako
Balozi wa Sudan Kusini nchini
Tanzania, Mhe.Mariano Deng Ngor akitoa neno la shukrani wakati wa hafla
ya kutiliana saini mkataba wa makubalina ya ushirikiano katika sekta ya
elimu baina ya Tanzania na Sudan Kusini jana jijini Dodoma. Kulia ni
Waziri wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako na
Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe.
Deng Deng Hoc Yai(katikati).
Waziri wa Elimu, Sanyansi na
Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako(kulia) na Waziri wa Elimu na Mafunzo
wa Serikali ya Jamhuri ya Sudan Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai wakiweka
saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu
hususan katika lugha ya Kiswahili jana jijini Dodoma.
Waziri wa
Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako(kulia) akifurahia
wakati Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Serikali ya Jamhuri ya Sudani
Kusini, Mhe. Deng Deng Hoc Yai akionyesha hati ya mkataba wa makubaliano
ya ushirikiano katika Sekta ya Elimu baina ya Tanzania na Sudan Kusini
mara baada ya kuweka saini jana jijini Dodoma. (Picha na: Frank Shija –
MAELEZO, Dodoma)
No comments :
Post a Comment