Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu
wa Rais Mtendaji Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la
Japan (JICA) Bw. Kazuhiko Koshikawa (wa tatu Kushoto) na ujumbe wake
walipokutana Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 28, 2019. Wa pili
kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dkt Damas Ndumbaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya picha ya kuchora
ya wanyama wakuu watano (Big Five) Makamu wa Rais Mtendaji Mwandamizi
wa Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Japan (JICA) Bw. Kazuhiko
Koshikawa alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es
salaa leo Februari 28, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kinyago ja
UJAMAA Makamu wa Rais Mtendaji Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la
Ushirikiano la Japan (JICA) Bw. Kazuhiko Koshikawa alipokutana na
kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 28, 2019.
Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Dkt Damas Ndumbaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Makamu wa
Rais Mtendaji Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la
Japan (JICA) Bw. Kazuhiko Koshikawa (wa tatu Kushoto) na ujumbe wake
baada ya kukukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa
leo Februari 28, 2019. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mtendaji
Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Japan (JICA) Bw.
Kazuhiko Koshikawa (wa tatu Kushoto) na ujumbe wake baada ya kukukutana
na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 28,
2019. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment