Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro, akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni
ya Yapi Merkezi inayojenga Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) jijini Dar es
salaam, kabla ya kuanza ziara ya kutembelea Mradi huo kutoka kituo cha
Ilala hadi kituo cha Kilosa mkoani Morogoro. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro, akiangalia sehemu ya reli ya Kisasa SGR iliyokamilika wakati
alipofanya ziara ya kutembelea mradi huo kutoka kituo cha Ilala hadi
kituo cha Kilosa mkoani Morogoro. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro, akiwasilia katika kituo cha Soga kilichopo mkoa wa Pwani kwa
ajili ya kuona namna mataluma ya reli yanavyotegenezwa katika kituo
hicho wakati alipofaya ziara ya kutembelea Mradi wa Reli ya Kisasa SGR
kutoka kituo cha Ilala hadi kituo cha Kilosa mkoani Morogoro. Picha na
Jeshi la Polisi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa (kushoto) akimuelezea jambo Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, kuhusiana na Mradi wa Reli ya kisasa
SGR, wakati alipofanya ziara ya kutembelea Mradi huo unaojegwa na
Kampuni ya Yapi Merkezi. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments :
Post a Comment