Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara wa kati na wadogo wa Kariakoo
kwenye ukumbi wa Anatouglo jijini Dar es salaa,, Februari 28,
2019. Kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda.
Baadhi ya wafanyabiashara wa kati
na wadogo wa Kariakoo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Anatouglo jijini Dar es salaam,
Februari 28, 2019.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,
Paul Makonda akizungumza kaika kikao cha wafanyabiashara wa kati na
wadogo alichokiitisha, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi
wa Anatouglo jijini Dar es salaam, Februari 28, 2019. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment