Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyeshwa namna madini
ya Tanzanite yanavyotambulika na kuwekwa kwenye madaraja yake na Mtaalam
wa Madini Bw. Jaffar Ally Mohamed wakati alipotembelea Ofisi ya Afisa
Madini Mkazi Mererani. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Meneja wa
Kampuni ya Godmwanga Gem Ltd Bw. Andrew Mbando (katikati) pamoja na Mkuu
wa Mkoa wa Manyara Mhe. Alexander Mnyeti (kulia) wakati alipotembelea
kiwanda kinachomilikiwa na Mzawa kwa asilimia ambayo inachenjua madini
ya Kinywe (Graphite). (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa
Madini Mhe. Angellah Kairuki kabla ya kuweka jiwe la msingi wa ufunguzi
wa Kiwanda cha Godmwanga Gems Ltd kinachochenjua madini ya Kinywe
(Graphite), Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la
ufunguzi wa Kiwanda cha Godmwanga Gems Ltd kinachochenjua madini ya
Kinywe (Graphite), Mererani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment