Wajumbe kamati ya Bajeti Mabunge ya Jumuiya ya
Madola kanda ya Afrika (CPA) wakiwa katika kikao kilichopendekeza bajeti ya
ziada kwa mwaka 2018 leo tarehe 22 Novemba, 2018 Bahari Beach Jijini Dar es
Salaam.
Wajumbe wa kamati ya Bajeti Mabunge ya Jumuiya
ya Madola kanda ya Afrika (CPA), kuanzia kushoto ni Katibu wa CPA kanda ya
Afrika ambae pia ni Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Stephen
kagaigai, Katibu Msaidizi CPA kanda ya Afrika, Ndg. Demetrius Mgalami na Muhasibu
wa CPA kanda ya Afrika, Ndg. Layson Mwanjisi wakiwa katika kikao hicho kilichopendekeza
bajeti ya ziada kwa mwaka 2018 leo tarehe 22 Novemba, 2018 Bahari Beach Jijini
Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa kamati ya Bajeti na Mweka hazina
wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA), Mhe. Samuel Ikon
akiongoza kikao hicho kilichopendekeza bajeti ya ziada kwa mwaka 2018 leo
tarehe 22 Novemba, 2018 Bahari Beach Jijini Dar es Salaam. (PICHA NA OFISI YABUNGE)
No comments :
Post a Comment