Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro
(kushoto) akisaini Mkataba na Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Majengo Tanzania, Arch. Elius Mwakalinga wa kuanza rasmi
ujenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika
mji wa serikali, Ihumwa jijini Dodoma.
Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro
(kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania, Arch.
Elius Mwakalinga wakipeana mikono kabla ya kukabidhiana Mkataba wa kuanza rasmi ujenzi wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mji wa serikali, Ihumwa
jijini Dodoma.
Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania, Arch. Elius
Mwakalinga wakionyesha Mkataba wa kuanza rasmi ujenzi wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mji wa serikali, Ihumwa
jijini Dodoma.
No comments :
Post a Comment