Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias
John Kwandikwa (kushoto), akikagua ujenzi wa daraja dogo katika
barabara ya Shinyanga –Bubiki.
Kaimu Meneja wa TANROADS Mhandisi
Mibara Ndirimbi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu ujenzi
wa kimkakati wa madaraja katika barabara za Salawe- Old Shinyanga na
Kahama- Solwa ili kudhibiti mafuriko wakati wa mvua (kulia) ni Naibu
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandikwa.
Muonekano wa moja ya barabara
zinazojengwa kwa kiwango cha lami katika Wilaya ya Kahama, barabara hizo
zinatarajiwa kuwa na mifereji ya kuondosha maji katikati ya mji ili
kuepuka mafuriko
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias
John Kwandikwa akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bw,
Anamringi Macha mara baada ya kuwasili wilayani humo.
No comments :
Post a Comment