Thursday, November 15, 2018

MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB AFIKA OFISINI KWA SPIKA WA BUNGE KUJITAMBULISHA


PIC 1
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mkrugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg. Mussa Nsekela aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha mapema leo Jijini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo Ndg. Ally Laay.
PIC 2
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Menejimenti ya Benki ya CRDB ikiongozwa na  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakuregenzi wa Benki hiyo Ndg. Ally Laay (wa kwanza kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ndg. Mussa Nsekela na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja Bi. Tully Mwambapa Ofisini kwake Jijini Dodoma.
PIC 3
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza   Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg. Mussa Nsekela (kushoto) aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha mapema leo Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo Ndg. Ally Laay.
PIC 4
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg. Mussa Nsekela (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Ndg. Ally Laay (kulia) mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dodoma.
pic 5
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiagana na  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya wa Benki ya CRDB Ndg. Ally Laay  na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ndg. Mussa Nsekela (kushoto)  mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dodoma.

PICHA NA BUNGE.

No comments :

Post a Comment