Thursday, November 1, 2018

KONGAMANO – PROF. SHIVJI AMPONGEZA RAIS DKT.MAGUFULI KWA DHAMIRA YAKE YA KUFUFUA SEKTA YA VIWANDA NCHINI


index
Profesa Shivji amepongeza nia ya Rais Magufuli ya kutaka kufufua sekta ya viwanda, lakini ameitaka Serikali kuhakikisha inalinda malighafi za nchi ili kuweza kunufaisha Watanzania.
Hayo ameyasema leo Novemba 1, 2018 katika Kongamano la Kitaaluma lililohusu uchumi ambalo limefanyikia Chuo Kikuu cha Dar Esta Salaam.
Amesema kuwa Mataifa ya Magharibi yote yamepata mafanikio kupitia sekta ya viwanda na kushauri kuangaliwa upya uratibu wake badala ya kuanglia wingi wa viwanda katika Mkoa(Chanzo AzamTVupdates).

No comments :

Post a Comment