Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitembelea baadhi
ya mabanda wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya
Uzalishaji wa Dhahabu , Mkoani Geita
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitembelea baadhi
ya mabanda wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya
Uzalishaji wa Dhahabu , Mkoani GeitaWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitembelea baadhi ya mabanda wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu , Mkoani Geita
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiongea wakati
wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu,
ambapo pamoja na mambo mengine aliziasa benki za kibiashara kushiriki katika
ukuaji wa sekta ya madini kwa kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo,
lengo likiwa ni kuwasaidia wachimbaji hao kuwa na masoko ya uhakika wa madini.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitembelea baadhi
ya mabanda wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya
Uzalishaji wa Dhahabu , Mkoani Geita
Mkuu
wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel akiongea wakati wa hafla ya ufungaji
wa Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu, ambapo alisisitiza
kuwa ataendelea kusimamia rasilimali ya madini katika Mkoa wa Geita ili iweze
kuwanufaisha wakazi wa Mkoa huo na Taifa kwa Ujumla.
Waziri
wa Madini Mhe. Angelah Kairuki akiongea wakati wa hafla ya ufungaji wa Maonesho
ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu, ambapo pamoja na mambo mengine
aliitaka kampuni ya madini ya Geita Gold Mine kuwafidia wananchi waliothiriwa
nyumba zao mitetemo ya uchimbaji wa madini,
kufikia Oktoba 24, 2018
Mkuu
wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel akimpa zawadi Waziri Mkuu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya ufungaji wa
Maonesho ya Teknolojia Bora ya Uzalishaji wa Dhahabu , Mkoani Geita
No comments :
Post a Comment