Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia)
akizungumza na Watumishi wa ofisi ya Bunge katika kikao cha pamoja kati ya Tume
ya Utumishi wa Bunge na Watumishi wa ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe
31 Oktoba 2018 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto
ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
kagaigai na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ndg. Alois Makoi
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai
(aliesimama) akizungumza na Watumishi wa ofisi ya Bunge (hawapo kwenye picha) katika
kikao cha pamoja kati ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Watumishi wa ofisi ya Bunge
kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba 2018 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini
Dodoma. Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika wa
Bunge, Dkt. Tulia Ackson (Kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali
Watu, Ndg. Alois Makoi (kulia), Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (wa pili
nyuma) na Mhe. Mary Chatanda (wa pili kulia nyuma)
Watumishi wa ofisi ya Bunge wakifuatilia kikao
cha pamoja na Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba
2018 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment