Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(wa pili kulia) akizungumza na Watumishi wa ofisi ya Bunge katika kikao
cha pamoja kati ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Watumishi wa ofisi ya
Bunge kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba 2018 katika ukumbi wa Pius
Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Naibu Spika wa Bunge,
Dkt. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai na Kaimu
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ndg. Alois Makoi
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
kagaigai (aliesimama) akizungumza na Watumishi wa ofisi ya Bunge (hawapo
kwenye picha) katika kikao cha pamoja kati ya Tume ya Utumishi wa Bunge
na Watumishi wa ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba 2018
katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
(Kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ndg. Alois
Makoi (kulia), Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (wa pili nyuma) na
Mhe. Mary Chatanda (wa pili kulia nyuma)
Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimali Watu, Ndg. Alois Makoi akizungumza na Watumishi wa ofisi ya
Bunge katika kikao cha pamoja kati ya Tume ya Utumishi wa Bunge na
Watumishi wa ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba 2018
katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Katikati mbele ni
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
(Kushoto mbele) na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai (mbele
kulia), Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu (wa
pili nyuma kushoto), Mbunge wa korogwe Mjini Mhe. Mary Chatanda (wa pili
kulia nyuma) na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Fakharia khamis
Watumishi wa ofisi ya Bunge
wakifuatilia kikao cha pamoja na Tume ya Utumishi wa Bunge
kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba 2018 katika ukumbi wa Pius Msekwa
Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment