Monday, September 10, 2018

WAZIRI MKUU MAJALIWA AREJEA DODOMA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma akitoka Dar es salaam Septemba 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge (kulia) na Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrabas Kitambi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma akitoka Dar es salaam, Septemba 10, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment