Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(katikati) akizungumza na Waheshimiwa Wabunge (hawapo pichani) wakati wa
uzinduzi wa Filamu ya ‘Bahasha’ iliyoandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia
Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya
vitendo vya Rushwa. Wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapt. Mst. George
Mkuchika, wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa Mhe. Jasson Rweikiza na Wakwanza kulia ni Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brig. Jen. John Mbungo.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akikata
utepe kuzinduzi Filamu ya ‘Bahasha’ iliyoandaliwa na Taasisi ya Kupambana
na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano
dhidi ya vitendo vya Rushwa. Wakwanza kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapt. Mst. George
Mkuchika, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe.
Jasson Rweikiza na Wakwanza kulia ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU
Brig. Jen. John Mbungo.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) wakionesha kwa Waheshimiwa
Wabunge (hawapo pichani) CD za Filamu ya ‘Bahasha’ mara baada ya
kuizindua. Filamu hiyo imeandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia
Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya
vitendo vya Rushwa. Wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapt. Mst. George
Mkuchika, wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa Mhe. Jasson Rweikiza na Wakwanza kulia ni Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brig. Jen. John Mbungo.
No comments :
Post a Comment