Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka( wapili kulia) akizungunza
na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora
ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Aggrey Mwanry
(mwenye jaketi la buluu) mara baada ya Balozi
wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek
Solczynski( pembeni ya Mkuu wa Mkoa) alipomtembelea Ofisi ya Mkoa huo
jana.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kushoto) akizungunza na Balozi
wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek
Solczynski( wa pili kutoka kushoto) na ,Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la
Tabora Mhashamu Paul Ruzoka(katikati) wakati kiongozi huyo wa kihoro
alipomtembelea Ofisi kwake jana

No comments :
Post a Comment