Mkurugenzi
wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Ephraim
Kwesigabo akitangaza hali ya Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2018 leo
jijini Dodoma
Baadhi
ya waandishi wa Habari walioshiriki kwenye ‘Press Conference’ ya kutangazwa kwa
hali ya Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2018 leo jijini Dodoma.

No comments :
Post a Comment