Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)George
H. Mkuchika (Mb) na Mbunge wa Kasulu Mjini (CCM), Mhe. Daniel
Nsanzugwanko (Mb) na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na
Bi. Monica Jackson Mavuli mnufaika wa TASAF kata ya Muhunga wilayani
Kasulu mbele ya nyumba ya mnufaika huyo iliyojengwa kwa fedha za ruzuku
ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)George
H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi na wanufaika wa TASAF kata ya
Muhunga wilayani Kasulu, alipowatembelea ili kujionea utekelezaji wa
Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.
Baadhi
ya wanakijiji na wanufaika wa TASAF wa kata ya Muhunga wilayani Kasulu
wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst)George
H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) alipoitembelea kata hiyo ili kujionea
utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.




No comments :
Post a Comment