Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjukuu wa
Malkia wa Uingereza Prince William mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam Septemba 27, 2018 kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjukuu
wa
Malkia wa Uingereza Prince William mara baada ya kuwasili Ikulu jijini
Dar es
Salaam Septemba 27, 2018 kwa ajili ya mazungumzo. Wanaoshuhudia ni
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, (kushoto) na
wapili kulia ni Waziri wa Sheria na Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
mgeni wake Mjukuu wa Malkia wa Uingereza Prince William aliyeambatana na Balozi
wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke pamoja na ujumbe wake mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa
Maliasili na Utalii Hamisi Kigwangalla akiwa pamoja na Waziri wa Katiba na
Sheria Profesa Palamagamba Kabudi
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mjukuu wa Malkia
wa Uingereza Prince William Kamusi ya Kiswahili mara baada ya kuwasili Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mjukuu wa Malkia
wa Uingereza Prince William picha ya wanyama wanaopatikana katika mbuga
mbalimbali nchini mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Picha
kutoka kwa Mjukuu wa Malkia wa Uingereza Prince William Ikulu jijini Dar es
Salaam. Picha hiyo inamuonesha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere akiwa anazungumza na Malkia wa Uingereza Elizabeth II –(PICHA NA IKULU)





No comments :
Post a Comment