Mwalo wa kijiji cha Igombe
wilayani Ilemela mkoani Mwanza ukiwa umepambwa na mitumbwi ya wavuvi wa
samaki katika ziwa Victoria hivi karibuni. Eneo hilo ni marufu kwa uvuvi
na uuzaji samaki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :
Post a Comment