Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi
mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa dini na Chama akivuta utepe
kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti lenye urefu
wa mita 82 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 25 katika eneo la mto
Sibiti Mpakani mwa Simiyu na Singida.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi
mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa dini na Chama akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa mitambo itakayotumika katika mradi huo wa ujenzi wa
Daraja la mto Sibiti.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Sibiti, Maswa na Singida katika eneo la mto Sibiti kabla ya kuweka jiwe la
msingi ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82 pamoja na barabara
zake unganishi zenye urefu wa km 25.

Sehemu ya Daraja la mto Sibiti lenye urefu wa
mita 82 upana mita 10.5 linalounganisha
kati ya mikoa ya Simiyu na Singida kama linavyoonekana ambapo ujenzi wake
umefikia asilimia 70.
Kikundi cha
ngoma cha Lusanya kutoka Singida kikitumbuiza katika sherehe hizo.
Wanachi
mbalimbali kutoka Singida, Maswa, Sibiti wakishangilia wakati wa hotuba ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la
Sibiti mpakani mwa mikoa ya Simiyu na Singida.
Kikundi cha
ngoma cha Lusanya kutoka Singida kikitumbuiza katika sherehe hizo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mmoja wa Mhandisi wa kampuni ya Hanan China inayojenga daraja hilo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungmza na Wahandisi wa kampuni ya Hanan China inayojenga daraja hilo na kuwasisitiza kumaliza katika muda uliopangwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Sibiti mara baada ya kuweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82,pamoja na kilomita 25 za lami linalounganisha Mkoa wa Simiyu na Singida.Septemba 10,2018.(PICHA NA IKULU)











No comments :
Post a Comment