Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha
Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwa
njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na
mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka wananchi hao kuzingatia lishe
bora kwa watoto kwani mkoa wa Kigoma umekuwa ukilima chakula kingi
lakini watoto wengi wanakosa lishe bora na kuzitaka mamlaka husika kutoa
elimu kwa wananchi ya umuhimu wa lishe bora.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment