Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Bandari nchini (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, kushoto, akimkaribisha
Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William bandarini mara baada ya
kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam jana.
Price William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu. Pembeni ya
Mhandisi Kakoko ni Waziri wa katiba na Sheria, Profesa Palamagamba
Kabudi.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi
Deusdedit Kakoko, katikati, akitazama sanamu ya Twiga aliyomzawadia
Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William, kushoto, mara baada ya
kufanya ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Price
William yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi
Deusdedit Kakoko, katikati, akimkabidhi zawadi ya sanamu ya Twiga Mjukuu
wa Malkia wa Uingereza, Prince William, kulia, mara baada ya kufanya
ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Price William
yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu. Kushoto ni Waziri wa katiba
na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi
Deusdedit Kakoko, katikati, akitambulisha watendaji wake kwa Mjukuu wa
Malkia wa Uingereza, Prince William, kushoto, mara baada ya kufanya
ziara ya kujionea utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Price William
yupo nchini kwa ziara maalumu ya siku tatu. Nyuma ya Mhandisi Kakoko ni
Waziri wa katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
No comments :
Post a Comment