Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula (katikati) akiteta jambo Mkuu
wa Huduma za Kibenki na Mauzo wa Benki ya NMB Makao Makuu, Omari Mtiga
alipowasili katika hafla ya ufunguzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day
yaliyofunguliwa rasmi leo katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage
jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa
huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma
ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akisalimiana na baadhi ya
wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Kati Dodoma alipowasili katika
hafla ya ufunguzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day
yaliyofunguliwa rasmi leo katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage
jijini Dodoma. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati, Nsolo
Mlozi. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za
ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo
kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day
leo katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage jijini Dodoma. Maonyesho
hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji
wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya
kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day
leo katika viwanja vya NMB Tawi la Kambarage jijini Dodoma. Maonyesho
hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji
wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya
kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akipongezwa na Mkuu wa Huduma za
Kibenki na Mauzo wa Benki ya NMB Makao Makuu, Bw. Omari Mtiga mara baada
ya kumaliza hotuba yake wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day leo
jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa
huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma
ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba. Katikati
ni Kaimu Mkurugenzi wa Nyumba toka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Pius Tesha.
Mkuu wa Huduma za Kibenki na Mauzo
wa Benki ya NMB Makao Makuu, Omari Mtiga akizungumza wakati wa hafla ya
uzinduzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day katika viwanja vya NMB
Tawi la Kambarage jijini Dodoma leo. Maonyesho hayo yamelenga
kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi na uuzaji wa nyumba
ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha
wateja wake kumiliki nyumba. Kushoto ni Naibu Waziri waArdhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula akisikiliza maelezo kutoka kwa
mwakilishi wa Kampuni ya Mabati ya ALAF mara baada ya kufungua rasmi
maonyesho ya NMB Nyumba Day leo jijini Dodoma. Kushoto ni
Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi. Maonyesho hayo yamelenga
kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi, vifaa na uuzaji wa
nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili ya
kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula (kulia) akimsisitizia jambo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Pioneer Builders inayojishughulishi na
utengenezaji wa Matofali yanayotumia udongo, Bi. Diane Metta
alipotembelea banda lao mara baada ya kufungua rasmi maonyesho ya NMB Nyumba Day leo
jijini Dodoma. Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa
huduma za ujenzi,vifaa na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa
huduma ya mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula (kulia) akisikiliza kwa makini
maelezo kutoka kwa Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),
Mariam Chisumo (kushoto) alipotembelea banda lao mara baada ya kufungua
rasmi maonyesho ya NMB Nyumba Day leo jijini Dodoma. Maonyesho
hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za ujenzi,vifaa na
uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya mikopo kwa ajili
ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wananchi wa jiji la Dodoma waliohudhuria hafla ya
ufunguzi wa maonyesho ya NMB Nyumba Day leo jijini Dodoma.
Maonyesho hayo yamelenga kuwakutanisha wateja na watoa huduma za
ujenzi,vifaa na uuzaji wa nyumba ambapo benki ya NMB inatoa huduma ya
mikopo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wake kumiliki nyumba. (Picha na:
Frank Shija – MAELEZO, Dodoma)
No comments :
Post a Comment