Mwakilishi kutoka Ofisi ya Mhasibu Mkuu wa
Serikali, Christopher Mwaluswaswa akitoa mada kwa viongozi wa vyama vya siasa
ya jinsi ya kuandaa taarifa za fedha kwa ajili ya ukaguzi wa Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wakati wa mkutano wa Msajili wa Vyama vya
Siasa na viongozi hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa
wakifuatilia mada ya jinsi ya kuandaa taarifa za fedha kwa ajili ya ukaguzi wa
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wakati wa mkutano wa Msajili wa
Vyama vya Siasa na viongozi hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis
Mutungi (kulia) akimtambulisha Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohammed Ally
Ahmed kwa viongozi wa vyama vya siasa
wakati wa mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na viongozi hao mapema hii leo
jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Edna Assey akitoa mada kwa viongozi
wa vyama vya siasa ya jinsi ya kuandaa rejista ya mali za chama na kuandika
taarifa za mali hizo wakati wa mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na
viongozi hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa
wakifuatilia mada ya jinsi ya kuandaa rejista ya mali za chama na kuandika
taarifa za mali hizo wakati wa mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na
viongozi hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Emmanuel Msengi akitoa mada kwa
viongozi wa vyama vya siasa ya jinsi ya kuandaa bajeti ya chama cha siasa na
taarifa za utekelezaji wake wakati wa mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na
viongozi hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Msajili
Msaidizi wa Vyama vya Siasa Sisty Nyahoza
(kulia) akifuatilia mada wakati wa mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa
na viongozi wa vyama vya siasa mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa
wakifuatilia mada ya jinsi ya bajeti ya chama cha siasa na taarifa za
utekelezaji wake wakati wa mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na viongozi
hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya viongozi wa vyama vya siasa wakichangia mada
wakati wa mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na viongozi hao mapema
hii leo jijini Dar es Salaam.
Naibu
Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohammed Ally Ahmed
akisisitiza jambo kwa viongozi wa vyama vya siasa wakati wa mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na
viongozi hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Msajili
Msaidizi wa Vyama vya Siasa Sisty Nyahoza
akitoa mada kwa viongozi wa vyama vya siasa ya jinsi ya kuwasilisha
taarifa za kisheria kwa Msajili wa vyama vya Siasa wakati wa mkutano wa Msajili
wa Vyama vya Siasa na viongozi hao mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment