Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa,
akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la
msingi la ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, akiwa kwenye ziara ya
kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi
wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma,
Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza mwanafunzi wa kidato cha sita Veronica
Sharma wa Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mti aliyoupanda mwaka 2012 kwenye Shule ya
wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
|
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment