Wednesday, September 19, 2018

KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR CHAANZA LEO TAREHE 19 SEPTEMBA 2018

DSC_0833

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir akifafanua baadhi ya  Maswali katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichoanza Mbweni Zanzibar.
DSC_0817
Muakilishi wa Jimbo la Chaani Nadir Abdul-latif Yussuf akiuliza maswali katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichoanza Mbweni Zanzibar.
DSC_0824
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Shamata Shaame Khamis akijibu Maswali katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichoanza Mbweni Zanzibar.
DSC_0862
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira Mhe,Juma Makungu Juma akijibu Maswali katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichoanza Mbweni Zanzibar.
DSC_0871
Baadhi ya Viongozi na  Wananchi mbalimbali waliohudhuria na kufuatilia Kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichoanza Mbweni Zanzibar.
DSC_0790
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika kikao cha Baraza hilo kilichoanza leo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

No comments :

Post a Comment