Friday, August 24, 2018

Wanahabari Watakaoshiri Mkutano wa Ushirikiano wa China na Nchi za Afrika Utakaofanyika Septemba, 2018 Jijini Beijing Nchini China


IMG_9160
Balozi wa China nchini Tanzania, Bi.Wang Ke akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) waliopata fursa ya kwenda kushiriki mkutano wa ushirikiano wa China na Nchi za Afrika utakaofanyika kuanzia mwezi Septemba 2018 katika jiji la  Beijing China.
IMG_9244
Mkrugenzi Mkuu Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) waliopata fursa ya kwenda kushiriki mkutano wa ushirikiano wa China na Nchi za Afrika utakaofanyika kuanzia mwezi Septemba 2018 katika jiji la  Beijing China, katikati ni Balozi wa China nchini Tanzania, Bi.Wang Ke na kulia ni Balozi Msaidizi wa China, Xu Chen.
IMG_9292
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi (mwenye tai nyekundu) akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Bi. Wang Ke na baadhi ya wana habari waliochaguliwa kushiriki katika mkutano wa ushirikiano wa China na nchi za Afrika utakaofanyika kuanzia  mwezi Septemba 2018 katika jiji la Beijing, China.
Picha na Pascal Dotto – MAELEZO

No comments :

Post a Comment