Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Bw. Mustafa
Aboud Jumbe kulia akifurahia jambo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na
Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu kushoto mara baada ya kumaliza kutiliana saini
mkataba wa mradi wa kusanifu, kujenga na kusimika taa za kuongozea magari
barabarani zitakazotumia umeme jua na umeme wa kawaida, tukio lililofanyika
katika ofisi za Wizara hiyo zilizopo barabara ya Fumba Kisauni kisiwani Unguja,
mradi huo ni wa kwanza kufanywa na TEMESA katika visiwa hivyo na utatekelezwa
katika makutano ya Muzamili, Mjini kati, Mtoni na Kwa Pweza mjini Unguja na
Mtemani na PBZ Chake Visiwani Pemba.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Bw. Mustafa
Aboud Jumbe kulia na kaimu Meneja wa Kikosi cha Umeme kutoka Wakala wa Ufundi
na Umeme (TEMESA) Mhandisi Pongeza Semakuwa wakitia saini mkataba wa mradi wa kusanifu,
kujenga na kusimika taa za kuongozea magari barabarani zitakazotumia umeme jua
na umeme wa kawaida, tukio hilo lilifanyika katika ofisi za Wizara hiyo
zilizopo barabara ya Fumba Kisauni kisiwani Unguja, huo ni mradi wa kwanza
kufanywa na TEMESA katika visiwa hivyo na utatekelezwa katika makutano ya
Muzamili, Mjini kati, Mtoni na Kwa Pweza mjini Unguja na Mtemani na PBZ Chake
Visiwani Pemba.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Bw. Mustafa
Aboud Jumbe kushoto akijadiliana na uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
mara baada kumaliza kutiliana saini mkataba wa mradi wa kusanifu, kujenga na
kusimika taa za kuongozea magari barabarani zitakazotumia umeme jua na umeme wa
kawaida, tukio lililofanyika katika ofisi za Wizara hiyo zilizopo barabara ya
Fumba Kisauni kisiwani Unguja, mradi huo ni wa kwanza kufanywa na TEMESA katika
visiwa hivyo na utatekelezwa katika makutano ya Muzamili, Mjini kati, Mtoni na
Kwa Pweza mjini Unguja na Mtemani na PBZ Chake Visiwani Pemba. Kutoka kulia ni
Kaimu Meneja Kikosi cha Umeme TEMESA Mhandisi Pongeza Semakuwa, Mtendaji Mkuu
Dkt. Mussa Mgwatu, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Shomari Shomari na
mwanasheria wa TEMESA Bi. Joyce Senkondo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Bw. Mustafa
Aboud Jumbe (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Wakala
wa Ufundi na Umeme (TEMESA) mara baada ya kumaliza kutiliana saini mkataba wa
mradi wa kusanifu, kujenga na kusimika taa za kuongozea magari barabarani
zitakazotumia umeme jua na umeme wa kawaida, tukio lililofanyika katika ofisi
za Wizara hiyo zilizopo barabara ya Fumba Kisauni kisiwani Unguja. Kushoto
kwake ni Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt Mussa Mgwatu, Mhandisi Pongeza Semakuwa,
Mkurugenzi wa Mipango wa Wizara hiyo Ndg. Hatibu M. Hatibu na kushoto ni
Mwanasheria Bi. Joyce Senkondo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg. Shomari
Shomari.(PICHA
ZOTE NA ALFRED MGWENO-TEMESA)




No comments :
Post a Comment