Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa ndani ya ndege
Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea
Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza
kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.Agosti
18,2018.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia abiria
ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa
akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya
kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria
wengine.Agosti 18,2018.

Rais
wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa
amembeba mtoto Ikrama Mahadi(Miezi-3) alipokuwa akiwasalimia abiria
ndani ya ndege
Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa
akielekea
Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza
kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.Agosti
18,2018.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia abiria
ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa
akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya
kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria
wengine.Agosti 18,2018.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia abiria
ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa
akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya
kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria
wengine.Agosti 18,2018. (PICHA NA IKULU)

No comments :
Post a Comment