Mwenyekiti wa Tume ya Madini
Nchini, Prof Idris Kikula (mwenye kofia) akionyeshwa bidhaa mbalimbali
zinazopatikana katika mgodi wa Mawe ya nakshi uliopo Wilayani Chamwino.
Tume ya Madini iko katika ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za madini
ili kujua changamoto mbalimbali za wachimbaji hao na kuzitatua Mkoani
Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini
Nchini, Prof Idris Kikula akioneshwa moja ya mawe ya nakshi yanayotumika
katika ujenzi na Mmiliki wa Mgodi wa mawe hayo Mhandisi Sylvester
Mganga katika Wilaya ya Chamwino.Mawe hayo yanatumika kutengeneza Vifaa
vya Ujenzi kama marumaru.Tume ya Madini iko katika ziara ya kukagua
shughuli mbalimbali za madini ili kujua changamoto za wachimbaji hao na
kuzitatua Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini
Nchini, Prof Idris Kikula (mwenye kofia) akionyeshwa bidhaa mbalimbali
zinazopatikana katika mgodi wa Mawe ya nakshi uliopo Wilayani Chamwino.
Tume ya Madini iko katika ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za madini
ili kujua changamoto mbalimbali za wachimbaji hao na kuzitatua Mkoani
Dodoma.
No comments :
Post a Comment